Duniani Leo March 29, 2019
Kiongozi wa upinzani, ambaye amejitangaza rais wa muda wa venezuela Juan Guaido, ameaomba wafuasi wake kutoka kaa kimya na kuendelea kuandamana mpaka watakapofanikiwa kumng'oa rais anayekumbwa na mgogoro Nicolas Maduro. Korea kusini imetangaza rais Moon Jae-in atafanya ziara ya Marekani mwezi ujao
Facebook Forum