Upatikanaji viungo

Breaking News

Guiness ilimtambua Kane Tanaka kuwa mwanamke aliye hai mwenye miaka mingi zaidi duniani

Guiness ilimtambua Kane Tanaka kuwa mwanamke aliye hai mwenye miaka mingi zaidi duniani
please wait
Embed

No media source currently available

0:00 0:02:15 0:00

Wanasema kuishi kwingi ni kuona mengi, mwanamke Kane Tanaka raia wa Japan ametambuliwa na tuzo za dunia za guiness kuwa mwanamke aliye hai mwenye miaka mingi zaidi duniani.

XS
SM
MD
LG