Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Januari 20, 2021 Local time: 13:13

Trump awasili Vietnam katika mkutano wa pili na Kim Jonh Un


Trump awasili Vietnam katika mkutano wa pili na Kim Jonh Un
please wait

No media source currently available

0:00 0:04:04 0:00

Rais wa marekani Donald trump amewasili Hanoi ,Vietnam katika mkutano wa pili na kiongozi wa Korea wa kaskazini Kim Jonh Un wenhye lengo la kujadili masuala ya program na silaha za nyuklia katika peninsula ya korea.

XS
SM
MD
LG