No media source currently available
Rais Donald Trump atembelea mpaka wa kusini wa Marekani na Mexico akisisitiza kujengwa kwa ukuta utakao tengenisha nchi hizo mbili. Akisisitiza katika ziara hiyo alisema ukuta huo utazuia wahalifu kuingia Marekani.
Ona maoni
Facebook Forum