Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Oktoba 21, 2020 Local time: 00:06

Tanzania na Rwanda zafanya vyema kupigana na ufisadi


Tanzania na Rwanda zafanya vyema kupigana na ufisadi
please wait

No media source currently available

0:00 0:01:57 0:00

Shirika la Kimataifa la Transparency International, limetoa ripoti inayoonyesha hali ya ufisadi duniani. Tanzania na Rwanda zimepanda kwenye chati ya uwazi wa mambo ikiziacha nchi nyingine za Afrika Mashariki katika chati hiyo.

XS
SM
MD
LG