Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Januari 20, 2021 Local time: 14:02

Wahamiaji 47 waokolewa karibu ufukwe nchini Italy


Wahamiaji 47 waokolewa karibu ufukwe nchini Italy
please wait

No media source currently available

0:00 0:02:54 0:00

Kutokana na hali mbaya wahamiaji wapatao 47 waokolewa karibu na ufukwe karibu na bandari ya Cicily. Hata hivyo meli hiyo imetia nanga kilometa moja baada ya serikali ya Italia kukatalia mashirika ya misaada kuingia ndani ya meli hiyo.

XS
SM
MD
LG