“Mji wetu umekabiliwa na wizi, nyumba zimevunjwa na miti ya mizeituni imechomwa moto,” Moftah Mohammed amesema akiwa na mshituko, wakati aliporejea nyumbani huko mjini Al-Gawalesh magharibi ya Libya, baada ya miaka kadhaa ya kuhangaika huku na huko.
Al-Gawalesh, iliyoko kilomita 120 (maili 75) magharibi mwa Tripoli, iliadhibiwa kwa kumuunga mkono Dikteta Moamer Kadhafi wakati wa majeshi ya NATO yaliyo kuwa yanasaidia upinzani mwaka 2011 yaliyo pelekea kukamatwa kwake na kuuwawa.
Facebook Forum