Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumapili, Januari 17, 2021 Local time: 06:27

Duniani Leo January 23, 2019


Duniani Leo January 23, 2019
please wait

No media source currently available

0:00 0:28:28 0:00

Leo ni siku ya 33 tangu baadhi ya idara za serikali ya Marekani ifungwe, ikiwa hakuna dalili yoyote ya chama tawala wala upinzani kufika matakwa ya msimamo wao kuhusu kujenga ukuta kwenye mpaka wa kusini wa Marekani. Na tuzo za Oscar zatangaza majina ya wataoshindania tuzo hiyo mwaka huu.

XS
SM
MD
LG