Duniani Leo January 18, 2019
Leo ni siku ya 28 tangu siku ya baadhi ya idara za serikali kuu ya Marekani zifungwe. Hii imepelekea mgongano kati ya spika wa bunge Nancy Pelosi na Donald Trump kuonyesha tofauti zao. Pelosi amemtaka rais kusogeza mbele kuhutubia taifa, wakati huo huo Trump sitisha safari ya spika nje ya nchi.
Matukio
-
Januari 16, 2021
Timu ya watafiti kutoka WHO ikiwasili Wuhan
-
Desemba 23, 2020
Malori ya Uingereza yazuiwa kuingia Ufaransa
-
Desemba 18, 2020
Kilichopatikana miaka 10 baada ya mapinduzi ya nchi za Kiarabu
-
Desemba 12, 2020
Wakimbizi waongezeka katika mji wa Pemba kaskazini mwa Msumbiji
Facebook Forum