Rais wa Marekani Donald Trump amelitaka bunge kuidhinisha dola bilion 5.7 kwa ajili ya kujenga ukuta kwenye mpaka wa kusini mwa Marekani. Hata hivyo viongozi wa bunge upande wa upinzani wameelekeza lawama kwa rais kwa kutumia wafanyakazi wa serikali kama mateka katika sakata hilo.
Facebook Forum