No media source currently available
Maelefu ya wafuasi wa upinzani waandamana katika mji mkuu wa Madagascar, Antananarivo kupinga ushindi wa rais wa zamani Andrey Rajoelina, mshindi katika duru ya pili ya uchaguzi wiki iliyopita.
Ona maoni
Facebook Forum