Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatatu, Januari 25, 2021 Local time: 05:36

Waziri wa Ulinzi Jim Mattis ajiuzuru


Waziri wa Ulinzi Jim Mattis ajiuzuru
please wait

No media source currently available

0:00 0:02:31 0:00

Wabunge wa Marekani wameeleza kusikitishwa na kujiuzuru kwa waziri wa ulinzi Jim Mattis. Taarifa ya Mattis kujiuzuru ilikuja muda mfupi baada ya rais Donald Trump kutangaza kupitia mdandao wa tweeter kuwa waziri huyo anastaafu.

XS
SM
MD
LG