No media source currently available
Taasisi ya Chatham House yenye makao yake nchini London imeanzisha juhudi mpya za kusaidia wakimbizi na watu waliokoseshwa makazi kwa kuwaajiri kutengeneza nishati safi, na kuwafanya wawe sehemu ya soko la uchumi, badala ya kutegemea misaada.
Ona maoni
Facebook Forum