Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumamosi, Oktoba 24, 2020 Local time: 01:22

DRC yaongezewa muda vikwazo na UN


DRC yaongezewa muda vikwazo na UN
please wait

No media source currently available

0:00 0:02:38 0:00

Baadhi ya viongozi wa upinzani wameupongeza umoja wa mataifa kwa kuongeza muda wa vikwazo kwa mgombea wa urais kupitia chama tawala Emmanuel Shadari zikiwa zimebaki siku chache kabla ya uchaguzi mkuu baadaya mwezi huu.

XS
SM
MD
LG