Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumapili, Mei 09, 2021 Local time: 05:30

Wapinganaji wa Yemen wakutana Sweden


Wapinganaji wa Yemen wakutana Sweden
please wait

No media source currently available

0:00 0:00:57 0:00

Kutoka Sweden, waakilishi wa serikali wa Yemen na wale wa waasi wa Huthi, ambao wamekuwa katika vita vibaya nchini mwao, wamelaumiana vikali katika kikao cha kwanza cha mazungumzo ya kutafuta Amani ambayo Marekani imetaja kuwa magumu lakini muhimu sana.

XS
SM
MD
LG