Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumapili, Januari 17, 2021 Local time: 16:38

Martin Fayulu asema ana suluhisho na matatizo yanayoikumba DRC


Martin Fayulu asema ana suluhisho na matatizo yanayoikumba DRC
please wait

No media source currently available

0:00 0:04:24 0:00

Mgombea wa urais jamhuri ya kidemokrasia ya Congo Martin Fayulu, anasema kwamba ndiye aliye na suluhisho na matatizo yanayoikumba DRC, akiahidi kuifufua kiuchumi, kijamii na kisiasa nchi hiyo ya Afrika ya kati, yenye utajiri mkubwa wa madini, lakini ambayo raia wake wanaishi kwa umaskini na ukosefu wa usalama.

XS
SM
MD
LG