wawakilishi wa nchi wanachama wa OPEC na nchi nyingine zinazozalisha mafuta, wanakutana Vienna, kujadili hatua ya kupunguza uzalishaji ili kuongeza bei ya mafuta huku rais wa marekani Donald Trump akiwahimiza kuendelea kuzalisha mafuta ilivyo kawaida.
Facebook Forum