Mkutano wa 20 wa wakuu wa nchi za jumuiya ya afrika mashariki uliokuwa umepangwa kufanyika leo mjini arusha kaskazini mwa Tanzania umeahirishwa baada ya rais wa Burundi Pierre Nkurunziza kushindwa kuhudhuria wala kutuma mwakilishi ama taarifa yeyote.
Facebook Forum