Ndani ya Washington Bureau: Katazo la Kuingia Marekani : Wahamiaji kutoka Amerika ya kati waweka kambi karibu na mpaka wa Marekani na Mexico. Mjini Washington D.C. marafiki watatu wakimbia katika mtindo wa Plogging ikiwa ni sehemu ya kampeni ya kuweka jiji safi
Facebook Forum