Wajasiriamali Nigeria wanatafuta njia za nchi yao kuwa kituo cha utali
Nchini Nigeria, wajasiriamali wanatafuta njia za nchi yao kuwa kituo cha utali kama ilivyo nchi nyingine za afrika kama vile Kenya na Tanzania. Huwenda wapanda mlima hawa ni wanigeria lakini hawakujua kamwe kuna mahali kama hapa nchini mwao, eneo linalofahamika kama Ikogosi Warm Springs.
Facebook Forum