Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumanne, Oktoba 27, 2020 Local time: 00:16

Watu zaidi ya 40 wamekufa katika ajali ya basi Zimbabwe


Watu zaidi ya 40 wamekufa katika ajali ya basi Zimbabwe
please wait

No media source currently available

0:00 0:00:52 0:00

Polisi nchini Zimbabwe wanasema watu zaidi ya 40 wamekufa katika ajali ya basi jana usiku. Bus hilo liliungua moto kabisa na kusababisha majeraha kwa wengine 20 ikiwemo ya moto.

XS
SM
MD
LG