Upatikanaji viungo

Breaking News
Ijumaa, Februari 03, 2023 Local time: 23:39

Zoezi la kuwarejeshea wananchi weusi Afrika Kusini laanza


Zoezi la kuwarejeshea wananchi weusi Afrika Kusini laanza
please wait

No media source currently available

0:00 0:02:28 0:00

Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa amewarejeshea wananchi weusi Afrika Kusini mashamba walionyang’anywa wakati wa utawala wa kibaguzi na kuahidi kuharakisha mabadiliko katika mfumo wa umiliki wa ardhi nchini humo.

XS
SM
MD
LG