Washington Bureau
Ndani ya Washington Bureau wiki hii: Rais Donald Trump aanza tena mikutano ya kampeni baada yeye na mkewe Melania kutembelea sinagogi la Tree of Life huko Pittsburgh, ambako mtu moja aliwuwa watu 11. Wakati huo huo, Mwendesha farasi moja jijini New York, anaeleza kuwa ameingiwa na wasi wasi kutokana na kauli ya Rais Donald Trump dhidi ya wahamiaji.
Matukio
-
Februari 06, 2023
Marekani: Rais Biden atatoa Hotuba ya Hali ya Kitaifa 2023
-
Januari 07, 2023
DRC: Waasi wa M23 wamekubali kuondoka Rumangabo
Facebook Forum