Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Januari 27, 2021 Local time: 14:31

Maafisa wa marekani wamekua wakifanya uchunguzi katika juhudi za kumtafuta aliyetuma mabomu


Maafisa wa marekani wamekua wakifanya uchunguzi katika juhudi za kumtafuta aliyetuma mabomu
please wait

No media source currently available

0:00 0:03:30 0:00

Maafisa wa usalama na upelelezi wa marekani wamekua wakifanya uchunguzi katika ofisi moja ya posta karibu na mji wa Miami jimbo la Florida kuanzia alhamisi usiku, katika juhudi za kumtafuta aliyetuma mabomu kumi yaliyotengenezwa kienyeji kwa maafisa wakuu wa chama cha democratic ambao ni wakosoaji wakubwa wa rais Donald Trump

XS
SM
MD
LG