Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan amepinga madai ya Saudia Arabia kuwa mwandishi wa habari Jamal Khashoggi aliuawa katika ugomvi uliozuka ndani ya ubalozi wa nchi hiyo nchini Uturuki. Marekani imesema itaendela kufuatilia kuwa karibu wahamiaji kutoka nchi za kigeni nchini mwake.
Facebook Forum