Theresa May amesema ana imani kubwa kuwa makubaliano ya Brexit bado yanawezekana
Waziri Mkuu wa Uingereza, Theresa May amesema ana imani kubwa kuwa makubaliano ya nchi kujitoa kwenye Umoja wa Ulaya – BREXIT – bado yanawezekana. Alisema hayo alipowasili Brussels kukutana na wenzake wa Ulaya, siku tatu baada ya mazungumzo kukwama jinsi ya kushughulikia suala na mpaka wa Ireland.
Matukio
-
Januari 25, 2021
#Wochit : Zijue athari kubwa za mabadiliko ya virusi vya Corona
-
Januari 21, 2021
Sherehe za kuapishwa Joseph Biden Rais wa 46 wa Marekani
-
Januari 16, 2021
Timu ya watafiti kutoka WHO ikiwasili Wuhan
-
Desemba 23, 2020
Malori ya Uingereza yazuiwa kuingia Ufaransa
-
Desemba 18, 2020
Kilichopatikana miaka 10 baada ya mapinduzi ya nchi za Kiarabu
Facebook Forum