Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumanne, Machi 02, 2021 Local time: 17:08

Wakimbizi wapata msaada wa chakula nchini Tanzania.


Wakimbizi wapata msaada wa chakula nchini Tanzania.
please wait

No media source currently available

0:00 0:02:34 0:00

Kwa mara ya kwanza mwaka huu wakimbizi katika kambi zilizopo nchini Tanzania wataweza kuhudumiwa kikamilifu kwa upande wa chakula baada ya shirika la mpango wa chakula duniani kupokea msaada wa dola za kimarekani millioni 21.3 na chakula kwa ajili ya wakimbizi nchini Tanzania.

XS
SM
MD
LG