Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumamosi, Aprili 10, 2021 Local time: 23:04

Maafisa wa polisi wanaendelea kumtafuta bilionea maarufu Mohamed Dewji


Maafisa wa polisi wanaendelea kumtafuta bilionea maarufu Mohamed Dewji
please wait

No media source currently available

0:00 0:02:42 0:00

Maafisa wa polisi nchini Tanzania wanaendelea kumtafuta bilionea maarufu Afrika kwa ujumla Mohamed Dewji aliyetekwa nyara na watu wasiojulikana, alhamisi alfajiri, jijini Dar-es-salaam akitoka katika kituo cha mazoezi kwenye hoteli moja mjini humo.

XS
SM
MD
LG