No media source currently available
Bilionea maarufu mwenye umri mdogo barani Afrika. Mohammed Dewji maarufu kama MO alitekwa nyara leo asubuhi na watu waliojihami kwa bunduki mjini Dar es Salaam, Tanzania.