No media source currently available
Ziara ya mke rais wa Marekani Melania Trump barani Afrika imefikia siku ya nne. Katika Ziara hiyo ya Afrika imehusisha nchi za Ghana, Malawi, Kenya na Mirsi.
Ona maoni
Facebook Forum