Upatikanaji viungo

Breaking News
Ijumaa, Januari 22, 2021 Local time: 10:25

Watendaji wa taasisi mbalimbali wa kupambana na rushwa wakutana Arusha.


Watendaji wa taasisi mbalimbali wa kupambana na rushwa wakutana Arusha.
please wait

No media source currently available

0:00 0:00:49 0:00

Watendaji wa taasisi za kupambana na rushwa kutoka nchi mbalimbali za bara la Afrika wamekutana Arusha, tanzania kujadili hatua iliyofikiwa na nchi hizo katika kukabiliana na tatizo la rushwa.

XS
SM
MD
LG