No media source currently available
Chama kikubwa cha upinzani cha Africa kusini Democratic Alliance kimeanza kampeni rasmi jumamosi kabla ya uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwaka ujao.