Upatikanaji viungo

Breaking News
Ijumaa, Februari 03, 2023 Local time: 07:49

Bobi Wine amesema serikali ya Uganda haiwajali vijana.


Bobi Wine amesema serikali ya Uganda haiwajali vijana.
please wait

No media source currently available

0:00 0:03:59 0:00

Ubishani mkali ulizuka Jumatano baina ya Balozi wa Uganda nchini Marekani, Sujja Katende, na mbunge Robert Kyagulanyi wakati wa mahojiano kwenye kipindi cha VOA cha Straight Talk Africa hapa Washington

XS
SM
MD
LG