Upatikanaji viungo

Breaking News

Video

Viongozi wa Asia Mashariki wakutana kwenye mkutano wa uchumi nchini Russia.

Viongozi wa Asia Mashariki wakutana kwenye mkutano wa uchumi nchini Russia.
please wait
Embed

No media source currently available

0:00 0:01:01 0:00

Viongozi wa nchi za Asia Mashariki, wanaohudhuria mkutano wa uchumi kwenye mji wa Vladivostok, Russia wametoa wito wa kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi na biashara kati yao.

XS
SM
MD
LG