Upatikanaji viungo

Breaking News

Video

Julius Malema asema wafuasi wake wataendelea kuchukua ardhi zisizo na wamiliki

Julius Malema asema wafuasi wake wataendelea kuchukua ardhi zisizo na wamiliki
please wait
Embed

No media source currently available

0:00 0:01:08 0:00

Kiongozi wa chama cha upinzani chenye sera kali Afrika Kusini, EFF Julius Malema, ameaapa kwamba wafuasi wake wataendelea kuchukua aridh ambayo haina watu ikiwa ni juhudi za kuilazimisha serikali kutoa ardhi kwa wazawa.

XS
SM
MD
LG