Duniani Leo September 11, 2018
Ndani ya Duniani Leo Gavana nchini Kenya Okothi Obado, achunguzwa kuhusiana na mauwaji ya mwanafunzi wa chuo kikuu aliyekuwa mja mzito. Kimbunga kilichopewa jina Florence kinatarajiwa chaongeza nguvu kuelekea kwenye fukwe za North Carolina. Tanzania yaadhimisha utambuzi wa mwezi wa sickle cell.
Matukio
-
Januari 16, 2021
Timu ya watafiti kutoka WHO ikiwasili Wuhan
-
Desemba 23, 2020
Malori ya Uingereza yazuiwa kuingia Ufaransa
-
Desemba 18, 2020
Kilichopatikana miaka 10 baada ya mapinduzi ya nchi za Kiarabu
-
Desemba 12, 2020
Wakimbizi waongezeka katika mji wa Pemba kaskazini mwa Msumbiji
Facebook Forum