Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumamosi, Aprili 10, 2021 Local time: 22:54

Jebra Kambole amefungua kesi dhidi ya mwanasheria Mkuu wa serikali akipinga sheria


Jebra Kambole amefungua kesi dhidi ya mwanasheria Mkuu wa serikali akipinga sheria
please wait

No media source currently available

0:00 0:03:30 0:00

Nchini Tanzania wakili wa kujitegemea Jebra Kambole amefungua kesi dhidi ya mwanasheria Mkuu wa serikali akipinga sheria inayowapa mamlaka wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya kuwaweka watu ndani kwa saa 48 akidai sheria hiyo imepitwa na wakati na inakwenda kinyume na haki za binadamu.

XS
SM
MD
LG