Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Oktoba 21, 2020 Local time: 22:51

Biashara ya majani ya chai imeyumbishwa kutokana na vikwazo vya marekani dhidi ya Iran

Biashara ya majani ya chai imeyumbishwa kutokana na vikwazo vya marekani dhidi ya Iran
please wait

No media source currently available

0:00 0:02:50 0:00

Biashara ya majani ya chai kutoka mataifa ya Afrika mashariki imeyumbishwa kutokana na vikwazo vya marekani dhidi ya Iran. Hatua hii tayari inatatiza kipato cha wakulima wengi katika eneo zima la Afrika Mashariki.

XS
SM
MD
LG