Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumamosi, Oktoba 24, 2020 Local time: 01:12

Rwanda kutafuta solo mbadala la nguo zinazotengenezwa nchini humo.


Rwanda kutafuta solo mbadala la nguo zinazotengenezwa nchini humo.
please wait

No media source currently available

0:00 0:01:33 0:00

Serikali ya Rwanda imesema Kamba inatafuta soko mbadala la nguo zinazotengenezwa nchini humo, baada ya Marekani kutangaza kupiga marufuku Rwanda kuuza nguo zake nchini Marekani bila kutozwa ushuru.

XS
SM
MD
LG