Familia ya Justine Ruszczky Daond, mwanamke aliyeuawa na afisa wa polisi wa Minneapolis julai mwaka jana baada ya kupiga namba ya kuitisha msaada wa dharura 911 akiripoti kisa cha kunyanyaswa kingono, imesema itafungua kesi ya madai mahakamani hii leo
Facebook Forum