Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumanne, Mei 18, 2021 Local time: 23:56

Waziri mkuu wa Australia leo ametoa wito kwa baba mtakatifu Francis kumfukuza kazi askofu

Waziri mkuu wa Australia leo ametoa wito kwa baba mtakatifu Francis kumfukuza kazi askofu
please wait

No media source currently available

0:00 0:01:08 0:00

Waziri mkuu wa Australia leo ametoa wito kwa baba mtakatifu Francis kumfukuza kazi askofu mkuu ambaye ni kiongozi wa juu wa kanisa katoliki nchini humo aliyekutwa na hatia ya kuficha tuhuma za ngono dhidi ya watoto waodogo

XS
SM
MD
LG