Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumamosi, Aprili 10, 2021 Local time: 22:26

Mahiga: Tanzania imepunguza uhusiano na Korea Kaskazini


Mahiga: Tanzania imepunguza uhusiano na Korea Kaskazini
please wait

No media source currently available

0:00 0:06:30 0:00

Waziri wa mambo ya nchi za nje wa Tanzania Augustine Mahiga anasema nchi yake imepunguza uhusiano wa biashara na Korea ya Kaskazini, kulingana na matakwa ya Umoja wa Mataifa.

XS
SM
MD
LG