Upatikanaji viungo

Video

Suala la jamii ya wanubi na ardhi nchini Kenya


Baada ya kulazimika kusubiri kwa kipindi cha zaidi ya miaka 54 Kenya ilipojinyakulia uhuru wake, hatimaye jamii ya Wanubi imepokea hatimiliki ya kipande cha ardhi chenye ekari 288.

Facebook Forum

XS
SM
MD
LG