Upatikanaji viungo

Video

Vita inayoendelea kati ya FARDC na waasi nchini DRC.


Austere Malivika yuko katika uwanja wa mapambano huko DRC ambapo anatutaarifu hali inayoendelea wakati mapambano yakiendelea baina ya jeshi la DRC FARDC na wapinzani. Hivi leo kundi la waasi wa maimai limechoma kambi ya jeshi ya FARDC lakini mapambao yanaendelea.

Facebook Forum

XS
SM
MD
LG