Upatikanaji viungo

Matukio ya Dunia

Mashuja wa uhuru wa Kenya wadai wamesahauliwa


Baadhi ya wapiganaji wa vita vya Mau Mau vya kuikomboa Kenya kutoka ukoloni wa Uingereza wanasema wamesahauliwa kabisa na taifa lao kwa vile wao raia kutoka kabila la wa Kikuyu.

Facebook Forum

XS
SM
MD
LG