Upatikanaji viungo

Matukio ya Dunia

Ziara ya kihistoria ya Obama Hiroshima, Japan


Rais Barack Obama amekua kiongozi wa kwanza wa Marekani akiwa madarakani kutembelea mji wa Hiroshima miaka 71 baada ya kudondoshwa kwa bomu la kwanza la nuklia katika mji huo.

XS
SM
MD
LG