Upatikanaji viungo

Matukio ya Dunia

Mtoto aokolewa kutoka jengo lililoanguka Nairobi


Mtoto wa miezi saba aokolewa siku nne baada ya jengo la gorofa sita kuporomoka katika kitongoji cha Huruma mjini Nairobi, watu 21 waliuliwa katika ajali hiyo.

XS
SM
MD
LG