Upatikanaji viungo

Video

Vijana Kenya waingia katika sekta ya kilimo


Kila mwaka vyuo vikuu nchini Kenya vinatowa wahitimu kwenye soko ya ajira lichaa ya kiwango kikubwa cha ukosefu wa ajira miongoni mwa vijana nchini humo. Baadhi ya vijana hao wametambuwa kilimo kinaweza kuwa na manufaa kama biashara au ajira nyenying yeyote ile.

XS
SM
MD
LG