Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumanne, Machi 02, 2021 Local time: 16:40

Majambazi wavamia kituo cha polisi Dar VOA mItaani


Majambazi wavamia kituo cha polisi Dar VOA mItaani
please wait

No media source currently available

0:00 0:07:37 0:00

Mkuu wa Polisi Tanzania athibitisha kwamba majambazi walishambulia kituo kimoja cha polisi jijini Dar es Salaam na kusababisha vifo vya askari wanne, raia watatu pamoja na jambazi mmoja.

XS
SM
MD
LG