Upatikanaji viungo

Breaking News
Ijumaa, Machi 29, 2024 Local time: 09:06

Ferguson yakumbwa na fujo usiku wa pili

Mji wa Ferguson katika jimbo la Missouri ulikumbwa na usiku wa pili wa machafuko huku maandamano yakiendelea katika sehemu mbali mbali nchini kupinga uamuzi wa baraza la mahakama kutomfungulia mashitaka polisi mzungu aliyemwua kijana mmoja mweusi mwezi August.

Mji wa Ferguson katika jimbo la Missouri ulikumbwa na usiku wa pili wa machafuko huku maandamano yakiendelea katika sehemu mbali mbali nchini kupinga uamuzi wa baraza la mahakama kutomfungulia mashitaka polisi mzungu aliyemwua kijana mmoja mweusi mwezi August

Pandisha zaidi

Makundi

XS
SM
MD
LG